habari wana jf

  1. Zirconium

    Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  2. MoonBoy

    Habari wana jf? Naomba elimu juu ya matumizi ya bolt (taxmtandao)

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya kufungiwa. Leongo la uzi huu ni kufahamu jinsi ya kutumia Bolt kama dereva POINT 1. Ni makosa...
  3. Peter_John

    Wapi wanauza baiskeli za design hii?

    Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
  4. Paulolaurent

    Habari wana jf kuna ujumbe nimepata kutoka google play kuusu usajili ku canceled na sijajua kama ntarudishiwa pesa na kama ntarudishiwa itachukua mda

    Msaada ndugu zangu pesa inaweza kurudi
  5. M

    Visa ya India huchukua siku ngapi?

    Heloo WanaJF mko poa? Visa ya India ni siku ngapi mpaka napata?
  6. D

    Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II

    Habari wana JF, Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II.
  7. Wakili wa shetani

    Hii dawa ninaweza kuipata wapi?

    Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
  8. Disney mbola

    UTI sugu inaweza kutibika kwa kitunguu swamu?

    Habari wanaJF, naomba kuuliza hivi ni kweli kitungu swaumu kinatibu UTI sugu? Je, Kuna tiba zingine za asili zinazoweza kumaliza tatzo hili? Asanteni sana naombeni ushauri na maoni
  9. KARUFYAMBE

    Habari wana JF

    Mimi ni mgeni wakuu ushirikiano wenu ni jambo la msingi , naomba kuwasilisha
  10. E

    Natafuta kazi yoyote kwenye Kampuni au Hoteli

    Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
  11. Daktari W Sindabhalla

    Boxer yangu katika chumba cha mpangaji mwenzangu

    Habari wana JF. Ninaomba ufahamu ili niiokoe ndoa ya watu. Wiki iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi Dodoma mjini - Chang'ombe Extension. Yeye na MR. wake na watoto 2 wana chumba na sebule. Kwakuwa nilikuwa na majukumu binafsi mbali na kuitembelea familia hii na kutokana na ufinyu...
  12. R

    Habari wana JF

    Nilikuwa naulizia kuwa hivi inawezekana kupata online copy ya result slip pamoja leaving certificate ya form four?
  13. mills93

    Nimefeli chuo, naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo. Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa hili jambo na sijui nifanye nini ili maisha yaendelee. Its like chuo was my only stand and now it has...
Back
Top Bottom