Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga.
Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.
Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
=====
Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...