Ni nadra sana kusikia WAPO RADIO ikitangaza jambo linalohusu upinzani, labda jambo hilo liwe linaifurahisha CCM.
WAPO RADIO mnacho kipindi cha asubuhi kinachohusu matukio, ambacho wasikilizaji hushauriwa kuwatumia ujumbe kuhusu matukio mliyoyatangaza. Cha ajabu, mara nyingi mnakuwa na...