Umeshawahi kusikia maneno credit cards na debit cards? Inawezekana umekutana nayo katika mitandao ya kijamii, umesikia rafiki/ndugu wakiyatamka au kuyasikia kwenye movie, hasa movie za Marekani. Kama umewahi kusikia, huenda unafahamu kwamba huwa zinatumika kufanya malipo mtandaoni. Wazungu...