hadhara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  2. Kingsmann

    Pre GE2025 Mbowe akishinda uenyekiti CHADEMA, hali kwenye mikutano ya hadhara itakuwa hivi

    USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
  3. R

    Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

    SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka. Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
  4. P

    KWELI Polisi wamezuia mkutano wa hadhara wa CHADEMA Ngorongoro

    Wakuu, Nimeona hii taarifa huko X kuwa polisi wazuia mikutano ya hadhara ya CHADEMA imezuiliwa, je ni kweli?
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
  6. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa

    Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.
  7. Stephano Mgendanyi

    Mikutano ya Hadhara na Harambee za Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini

    MIKUTANO YA HADHARA NA HARAMBEE ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI Wito: Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameombwa na wananchi wa baadhi za kata aungane nao kwenye ujenzi wa sekondari ya pili na ya tatu ya kata zao - Mbunge amekubali. Takwimu: Jumla ya...
  8. iamwangdamin

    Mbunge Ummy afanya mkutano wa hadhara kata ya nguvumali.

    #OdoUmmyJimboni #SamiaMitanoTena ---- MBUNGE UMMY AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA NGUVUMALI. Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu tarehe 27/07/2024 amefanya Mkutano wa hadhara kata ya Nguvumali kwa ajili ya kueleza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha 2020 - 2025...
  9. BARD AI

    Mikutano ya Hadhara ya Bobi Wine yasitishwa baada ya kudaiwa kusababisha Vifo

    Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana Watu wawili kufariki katika Mikutano hiyo Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku mbili tangu kuanza kwa...
  10. Erythrocyte

    Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

    Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi
  11. Morning_star

    Kujianika mbele ya hadhara kisa unaongea na simu ni uzwanzwa!

    Nilikuwa nasafiri kutoka Dodoma kuja Dar! Njiani jamaa anaongea na simu mwanzo mwisho na kujionyesha anafanyakazi gani na matumizi ya hela na miradi aliyonayo na mahusiano na blahblah nyingi! Gari zima lilijua yeye ni nani hadi ikawa kero na kutuboa! Mpaka jamaa mmoja kamtolea mbovu ya kwamba...
  12. Idugunde

    Joseph Selasini ampiga Marufuku Mwabukusi kuitisha mikutano ya hadhara. Selasini anaunga mkono Bandari kuuzwa

  13. D

    Mikutano ya hadhara sio fursa wala zawadi, Rais Samia lijue hili

    Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika". Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Mkutano wa Hadhara, Ruangwa mjini, leo Septemba 18, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara - Ruangwa Mini leo tarehe 18 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/n2bRFA5-Vtw?si=EaD4yvTy59ujimsi === Rais Samia amesema kuwepo Ruangwa ni mwendelezo wa ziara yake ya...
  15. Dr Akili

    Hivi CHADEMA wamemuelewa kweli Rais wetu? Kwamba hicho wanachozunguka kukihubiri ni ukiukaji wa malengo ya kuruhusu mikutano ya hadhara

    Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo. Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa...
  16. R

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    "Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya...
  17. britanicca

    Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

    Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya. Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
  18. Sildenafil Citrate

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  19. D

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
  20. Ulimbo

    Sababu za kuzuiliwa Mikutano ya hadhara.

    Salaamu wana JF. Nimekuwa na maswali mangi ya kwa nini kuna mikutanoinazuiliwa kufanyika bila kupata majibu ya kutosha. Kumekuwepo na tabia ya viongozi hasa wa ccm wakishitikiana na jeshi la polisi kuzuia mikutano na makungamano bila kutoa sababu za kutosha. Kwa uchache tu: 1:Kuna kipindi...
Back
Top Bottom