ANGUKO LA AIBU
Mwandishi: Duarte
Simulizi Fupi.
"Nina imani na wewe. Nategemea mrejesho mzuri" aliongea Mr.Deus na kukata simu. Mr.Deus alirejea chumbani kwake ambako hawali alimwacha mkewe ambaye kwa muda huu alikuwa amelala.
"Mke wangu, mke wangu!" Mr.Deus alijaribu kumuita mkewe...