Habari ndugu zangu wanajamii, Mimi nina shida ya kuona vizuri tangu mwaka 2018, Nimeenda hospitali kama muhimili na Dr Agarwal nilipewa dawa ya vitamini wakidai ni shida ya neva za kuona. Leo hii nilkua darasani nikawa imeingia chumba chenye AC na feni macho yameanza kuniwasha sana baadae...