Usiku wa leo, kuanzia saa 3:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or pale katika ukumbi wa Theatre du Chatelet jijini Paris.
Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake.
Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa...