Kila binadamu apa duniani ana kitu au jambo ambalo akilifanya, akilipata ama kulifikia basi anajihisi na kuona kuwa siku yake imekamilika.
Na kila binadamu, mwanadamu ana jambo ama kitu ambacho akikikosa ama kutokukifanya au kutokukifikia basi moja kwa moja hujihisi kuwa siku yake haijakamilika...