Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza.
Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki.
Mo acha unyonge, dhamini nawewe timu mbili tatu.
Simba Nguvu moja.
Wakuu,
Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani
Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers
Akizungumza kwenye...
Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Ukweli usemwe,
Kuanzia katibu mkuu, Naibu, Mwenezi wanaweza kuwa walifanya vizuri kwenye siasa nyakati zao lakini kwa sasa hapana.
Historia inajirudia inanikumbusha Sekretarieti ya Katibu Mkuu Mzee Mkama na hii ya sasa wanafanana sana na hawana tofauti.
Hadi sasa CCM imeingia choo cha...
Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote.
Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono.
Azimio la kusitisha...
Salam wana JF popote mlipo, amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania.
Husika na kichwa cha habari tajwa apo juu naomba kupitia mamlaka ya ofisi yako kukifutilia mbali chama cha mapinduzi, na moja ya sababu ya...
Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani...
SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013
Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja.
Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania.
Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Hivyo matokeo yoyote ya ushindi...
Hii kitu hakiwezekani kabisa mimi nakudai billions of money ila unanishikia Bastola eti kisa wewe ni deep state hii kitu hajiwezekani na bila shaka ya muhusika upo humu na unaisoma hii thread kile kitendo ulichonifanyia pale Hyatt regency kunishikia bastola ile jana tayari nimeshashitaki pale...
Hii haikubaliki hata kidogo na nawaomba wamiliki wenzangu wa siomu za mkononi tukatae kwa nguvu zote makampuni ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la biashara!
Wanatujazia mameseji kibao wakitangaza biashara zao. Simu ninunue mimi halafu wewe uitumie kwa matangazo yako ya biashara bure...
Kumekuwa na tuhuma mbaya sana kuihusu LST na kwa muda mrefu.
Hii ni taasisi ya umma na yeyote afanyaye kazi pale ni dhamana tu.
Kwa mahitaji ya ufafanuzi tuhuma hizi ziliorodheshwa kwenye uzi huu hapa chini:
Dokezo - Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu...
Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho.
👇
Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
Rushwa ni mwenendo usio faa anao ufanya mtu kwa manufaa yake binafsi. Kuna Aina nyinginza rushwa Kama rushwa ya fedha, ngono, Mali n.k
Sababu za kuongezeka kwa rushwa nchini.
Ongezeko la umaskini nchini hupelekea kutoa rushwa kwa lengo la kujipatia kitu flani mfano kazi.
Ubinafsishaji...
Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa.
Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu.
Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini.
2025 ushindi upo wazi kabisa.
Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.