Mkurugenzi wa Energo Tanzania Limited, Mhandisi Kahema Mziray ametoa wasiwasi kwa watu juu ya matumizi ya gesi asilia katika vyombo vya usafiri ikiwemo magari ni salama.
Mhandisi Mziray ameyasema hayo wakati alipofanya mahojiano kupitia Upendo TV juu ya matumizi ya nishati ya gesi asilia katika...