Kukata gogo ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kukata gogo ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani.
Jitahidi uwe unaenda kufanya haja kubwa sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi...