Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti ili kila mpangaji atoke na kuingia kwa geti lake.
Baada ya mwaka na nusu nilihamishwa mkoa mwingine...