Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.
Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.
Sasa kitendo cha...
Nyota imefubaa ghafla, kuna wahuni toka matawi mbalimbali ya Yanga wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi endapo atashika microphone kusema chochote.
PIA SOMA
- Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga
Kila zama na kitabu chake, hakuna lenye mwanzo lisilo mwisho. Hakika, kwa alama zote, ni suala la muda tu ufalme wa Haji Manara utafikia tamati, narudia, ni suala la muda tu.
Baada ya Ally Kamwe kutangaza kujiuzulu, wanayanga walijiapiza kwamba, kamwe Ally Kamwe hataondoka Yanga. Mwangwi huo...
Yaani kabla ya Press Conference kuanza unawaambiwa Waandishi wa Habari kuwa Wewe huna Bosi katika hiyo Idara na kwamba huko ulishavuka.
Hivi ungevuka huko kama unavyojinadi ungekuwa kutwa unaomba Fedha kwa Boss wa Timu huku ukiwapiga Majungu akina Kamwe na Privaldinho?
Hivi kwanini...
Ujio wa Manara Yanga unamnyima raha Ally, kama Ally hatauona ujio wa Manara kama faida kwake kufanyakazi na mkongwe/nguli kwenye tasnia na badala yake amuone kama adui kwake, patachimbika.
Kwakuwa ni ukweli kuwa Ally sio bora na maarufu kuliko Haji, hivyo anatakiwa kuchota uzoefu wa Haji ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.