Hakuna mtu yoyote mwenye pride duniani akamaliza maisha yake salama..
Its written in the all holly books.
Wahenga wamezungumza, methali za kiswahili zimesema "" Hakuna usalama kwa mtu mwenye pride""
Viburi vingine tunavyo vipotray kwenye nyumba zetu, kwenye familia zetu, kwenye jamii zetu...