Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki za Wanawake. Kusingekuwa na mambo ya women empowerment.
Lakini baada ya wanaume wengi na Wala...
Wafanyakazi wa ngono nchini Ubelgiji sasa wanapata ulinzi sawa na wafanyakazi wa sekta nyingine kupitia sheria mpya ya kihistoria iliyopitishwa mwezi Mei mwaka huu na kuanza kutekelezwa siku ya Jumapili.
Sheria hiyo inatoa haki za ajira rasmi, ikiwemo likizo ya uzazi, bima ya afya, posho za...
Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika.
Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao
Kufua nguo - Kuna...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la
Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani...
Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa wanafunzi wa Machi kusubiri hadi Agosti ili kufanya mitihani yao ya supplementary wakati wenzao wa Septemba...
Patriarchy ni mfumo dume, mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume, huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi, siasa na sekta zengine.
Mwanzoni mwa miaka ya 70 kuna dhana nyingi zilianzishwa kitu ambacho kimepelekea kuleta vuguvugu la...
Akijimudu, Anageuka MBABE, wakati huo huo chako anakihitaji.
Akiona upenyo wa Mwanga mzuri, anageuka FEMINIST, anadai haki sawa.
Kukiwa na shida lets Say ya kifamilia, ANAJITOA Anadai Baba ndio kichwa cha familia..
Akiwa na Shida private ambayo anona kabisa yeye mwenyewe ndio anapaswa...
Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala.
Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI??
Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye...
ULIMWENGU WA HAKI SAWA 50/50 HAKUNA KULIPA FAINI UKIMPA MWANAMKE MIMBA AU MTOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Oooh! Umemzalisha mtoto wetu, lipa sijui FAINI, sijui lipa vitu gani. Sasa Sisi Watibeli tukitaka kuonyeshwa huyo Binti aliyezalishwa analetwa Mwanamke MTU mzima kabisa zaidi ya...
Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati.
Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
Assalaam Alleykum.
hakuna ubishi wowote kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu na haki zao za kifamilia zinapaswa kuwa sawa kithamani. Kwa sababu wao wote ni binadamu na hivyo wana haki sawa.
Nukta inayopaswa kuangaliwa hapa ni kuwa mwanaume na mwanamke, kwa sababu ya tofauti zao za...
POVU: KUNA KIMTU KIMENIKERA ASUBUHI ASUBUHI
Kuna kamtu kananiletea hoja za haki sawa. Yaani katoto ka 2003, ana miaka 20 kasoro miezi kadhaa kananihangaisha mzee mkubwa na ndevu zangu.
Yani nikaajiri, kasifanye kazi nnayotaka, kajipangie siku za kuingia kazini na muda wa kutoka halafu...
Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia.
Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume, bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao.
Tukibeba vibaya maana ya...
RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII.
Na, Robert Heriel.
Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume.
Hakunaga haki Sawa baina...
Kwema Wakuu!!
Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona uonevu, unyanyasaji, ukandamizaji pamoja na dhulma ndani ya jamii.
Mimi hata awe mzazi wangu akileta...
Rais mteule Hakainde Hichilema. Jana Amelihutubia Taifa na kusema Yafuatayo
[emoji117]TV ya TAIFA haikuonyesha MIKUTANO ya UPINZANI
[emoji117]Msipoyaonyesha Watazamaji Watapungua
[emoji117]Watazamaji Wakipungua hamtapata Matangazo
[emoji117]Mkikosa Matangazo Mtakufa na Mtafunga
[emoji117]Mwisho...
Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena.
Zamani wanaume walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.