haki sawa kwa wote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi kwanini utoaji wa haki hapa nchini umekuwa hakuna?

    Wakuu ! Ni matumaini yangu mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila kwa neema na kudra za Allah. Nimeamua kuanzisha huu uzi ili niweze kusikia maoni yenu au kuweza kupata kujua ni namna gani ninaweza kupata haki yangu ya msingi hasa kwenye kipindi hiki ambapo upatikanaji wa haki...
  2. Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

    Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke. Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa...
  3. Ni kwanini katika Vita zinazoendelea Duniani siwaoni Wanawake waliopo jeshini wakiwa Frontline katika mapambano vitani? Haki sawa ipo wapi?

    Habari zenu, katika kufuatilia vita mbalimbali zinazoendelea Duniani kila siku kuanzia ile ya Ukraine na Urusi mpaka hii ya Israel na Hamas, hata tukija hizi vita za Jeshi la kongo na Waasi ni vigumu sana kuona Wanawake wa kijeshi wakiwa Frontline kupambania nchi zao, Tofauti na wanaume ambao...
  4. Nimetamani sana ile dhana ya mfumo dume iendelee ili kunusuru kizazi cha baadaye

    Patriarchy ni mfumo dume, mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume, huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi, siasa na sekta zengine. Mwanzoni mwa miaka ya 70 kuna dhana nyingi zilianzishwa kitu ambacho kimepelekea kuleta vuguvugu la...
  5. Mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu lakini asili yao haitaki wafanane katika baadhi ya haki, majukumu, wajibu na adhabu

    Assalaam Alleykum. hakuna ubishi wowote kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu na haki zao za kifamilia zinapaswa kuwa sawa kithamani. Kwa sababu wao wote ni binadamu na hivyo wana haki sawa. Nukta inayopaswa kuangaliwa hapa ni kuwa mwanaume na mwanamke, kwa sababu ya tofauti zao za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…