Moja ya kesi muhimu katika uhuru wa kimtandao Tanzania ni pamoja na hii, Bwn. Paul Kisabo aliwasilisha malalamiko dhidi ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kisabo alidai kuwa TCRA imezuia ufikiaji wa...