Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba...
"Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma nakadhalika, hizo zinazoitwa haki za binadamu ndizo haki za kikatiba, kama kuna kitu hakijaandikwa kuanzia...
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria zetu za uchaguzi zinataka mtu ukigombea nafasi yoyote ya kisiasa ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa na kinachotambulika.
Kwa msingi huu wa sheria ina maana ukipoteza unachama wako ina maana umepoteza pia sifa...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kanda ya Tabora kimefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukiuka haki ya kikatiba dhidi ya Mohamed Thabiti Nombo, mkazi wa mkoa wa Tabora.
Kesi hiyo, yenye namba 31308 ya mwaka 2024, inasikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa mkoa wa Tabora chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.