Kama unakuwa msomi na huzijui haki zako za msingi ni heri upokonywe vyeti vyenyewe.
Si wasomi wote wataajiriwa na serikali au sekta binafsi ila ni sharti kuwepo na usawa katika ajira. Bila kijali huyu anatoka visiwani au bara kwenye suala la ajira vijana wote wanapaswa kuwekwa kwenye kapu moja...
Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje?
Elimu yao au taaluma zao?
Ajira wanaombea wapi?
Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.