haki ya kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gabeji

    Maandamano kupinga mauaji na watu wasiyojulikana yanatakiwa kuwa ya wananchi wote bila kujali dini wala chama cha siasa

    Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote yule. Rai yangu watanzania swala la kudai haki kwa njia ya amani ni la kikatiba, mandamano...
  2. Chachu Ombara

    Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi: Kama maandamano ni uhalifu, yaharamishwe kisheria

    “Maandamano ni haki ya kisheria kama mtu anataka kupiga kapige wale wabunge waliotunga sheria sio mlaji wa ile sheria kama unafikiri maandamano ni uhalifu yaharamishe kisheria jenga hoja yaharamishe kisheria tutofautishe ghasia na maandamano unajau kuna vitu viwili watu hawatofautishi ghasia na...
  3. GENTAMYCINE

    Pre GE2025 Mnaolia leo katika Awamu ya Hayati Magufuli mlimsema sana kuwa anawapiga na kuwatesa na kumtetea wa sasa, ila naye leo kawageuka!

    Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli. Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua...
  4. Influenza

    Pre GE2025 Amos Makalla: Wakati mwingine kwenye maandamano msiende! Baada ya maandamano mnarudi nyumbani, imebadili nini? Wenyewe wanalipana posho

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania Amesema “Kama Chama...
  5. comte

    Kwa hali ilivyo sheria irekebishwe ili kibali cha maandamano kiombwe mahakamani

    Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
  6. peno hasegawa

    Ukipinga Kodi kwa kufunga duka unamkomoa nani? Tujifunze kwa Wakenya

    Ninaendelea kumsikiza! "Yaani sisi Tanzania tunapinga kodi kwa kufunga maduka, wakati wenzetu Kenya wameandamana. Ukifunga duka unamkomoa nani? Usifikiri kwamba unaikomoa serikali, sababu wataendelea kukusanya makato ya mikipo mliyochukua. "Serikali haikomoleki, andamaneni mdai haki zenu...
  7. ChoiceVariable

    Serikali msihangaike na madai ya wafanyabiashara ambayo hayatekelezeki. Njaa itawarudisha sokoni

    Nitoe wito Kwa Viongozi wa Serikali wasihamgaike na hao wafanyabiashara wanaotumika Kisiasa. Wacheni wafunge biashara Kwa sababu njaa itawarudisha sokoni bila hata Nguvu. Huwezi ukajua na madai ya kipuuzi na yasiyo na msingi.Madai Yao ni Kodi ambazo zimekuwepo Toka enzi ya Mkapa alipoleta VAT...
  8. Cute Wife

    Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

    Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano. Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Mahakama pia imeamuru Usalama wa Taifa Kenya pamoja na Polisi...
  9. Mfikirishi

    Maandamano Kenya ni Ukomavu wa Akili

    Binadamu ni akili inayoishi ndani ya mwili! Na akili inahitaji elimu bora ili kuikomaza vizuri. Siasa na serikali ni mifumo ya kijanja janja sana. Inahitajika akili iliyokomaa kuweza kukabiliana nayo! Maandamano yanayofanyika nchini Kenya hayana viongozi wa kisiasa! Ni vijana walioelimisha...
  10. Yoda

    Tuchukue masomo muhimu kutoka hali ya sasa Kenya

    Yanayoendelea Kenya kwa sasa katika mchakato wa kupitisha muswaada wao wa fedha unaopingwa kwa nguvu na raia yatupe masomo muhimu 1. Mikopo iliyopitiliza ni mtego mbaya kwa nchi masikini Kenya kwa muda mrefu wa takribani miaka kumi ya uongozi wa Uhuru Kenyatta na Ruto ilikuwa ikikopa kwa kasi...
  11. Cute Wife

    Mbunge awasilisha Mswada wa Kuwafunga Wakenya wanaoandamana bila vibali

    Mbunge kutoka Mberee Kaskazini, bwana Geoffrey Ruku amewasilisha Bungeni, muswada utakaowezesha Wakenya kufungwa kwa mwaka mmoja, faini ya Tsh. 2,000,000 (Ksh. 100,00) au vyote kwa pamoja kw awakenya watakaoandamana bila ya kuwa na vibali stahiki. Kulingana na mswada huo, taarifa ya maandamano...
Back
Top Bottom