Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi
Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
Serikali inapambana kuwahamisha wa Maasai Ngorongoro pasipo sababu za msingi pasipo kuangalia athari kuu, wamaasai na wa Handzabe si sawa na wana kizimkazi ni watu watofauti Kabisaaa.
Hili suala la wa Maasai litaitia Tanzania katika matatizo makubwa kimataifa. Kama wenye...
Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo.
Akizungumzia...
albino kupotea
hakiyakuishihaki za watoto
imani za kishirikina
kuelekea uchaguzi mkuu
mauaji ya albino
mauaji ya albino kagera
mila potofu
mtoto asimwe afariki
mtoto asimwe novath
mtoto mwenye ualbino
ukatili kwa albino
ukatili kwa watoto
waganga wa kienyeji
Kufuatia tukio la wa wasiojulikana kummyakua mtoto wa miaka miwili na nusu mwenye ualbino aitwaye Asiimwe Novath, na kutokomea naye, baada ya kumkaba koo mama yake anayefahamika kwa jina la Kebyera Richard, mkazi wa Kijiji cha Bulamula, Kitongoji cha Mbale, Kata na Tarafa ya Kamachumu wilayani...
"Mpaka kufika Jumatatu nitakuwa nimemshtaki Mahakamani ndugu Albert Chalamila kwa kosa la kuhamasisha mauaji (Extra-Judicial Killings). Jinai huwa haina cheo." - Peter Madeleka
Pia soma: Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa takribani juma moja sasa kimekuwa kikifuatilia kwa karibu mjadala ulioripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mgogoro kati ya watoa huduma wa afya kutoka sekta binafsi pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya...
Wakati wa likizo miaka ya 1980 tulipokuwa watoto, ilikuwa ni utamaduni kwenda kuwasalimu bibi na babu,yalikuwa ni malezi bora yenye baraka pale babu na bibi wanapokushika mkono kukubariki na kukutakia yote yaliyo mema, wakati tukirudi kijijini, watoto wa waliofanikiwa walipelekwa kutembea...
Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za mauaji wa mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba, Farida Makuya (16) aliyeuawa usiku akiwa nyumbani kwao Oktoba 4, 2022.
Marehemu enzi za uhai wake
Binti alitakiwa kuwa miongoni kwa watahiniwa wa mitihani wa darasa la saba...
Ndugu zangu Watanzania wenzangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Nawasalimu kwa dhati.Pia nawapa pole wote waliotangulia mbele ya Muumba wao kwa vifo vya kinyama vilivyotokea.Mungu awape ujasiri wafiwa.
Pia bila kuwasahau wagonjwa, wafungwa & mahabusu (Hakuna aliye salama...
Niliusoma ule ujumbe wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani kumhusu mkuu wa mkoa wa Dar juu ya watu kudhulumiwa haki ya kuishi, kichwani mwangu zikaja kila aina ya fikra. Zilikuwa ni tuhuma nzito zilihitimishwa kwa RC wa Dar kunyimwa haki ya kuingia Marekani.
Lakini kesho hakuna binadamu aijuaye...
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.