haki ya kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  2. JamiiForums Tanzania Haki ya kuishi haiwezi Kutengwa na Serikali au Chama Tawala

    https://youtu.be/fxKshd29204?si=Y-pLj6LM7zH-KRNk Katika muktadha wa siasa na maisha ya kijamii nchini Tanzania, mara kwa mara tunasikia kauli potofu zinazodai kwamba Watanzania ambao hawapo katika mfumo wa serikali au chama tawala hawana haki ya kuishi wala kushiriki katika maendeleo ya taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania wanaanza kuzinduka, wasema serikali ikachaguliwe na tembo kwakuwa wanawathamini sana kuliko wao

    Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
  4. JamiiForums Tanzania “Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo

    Serikali inapambana kuwahamisha wa Maasai Ngorongoro pasipo sababu za msingi pasipo kuangalia athari kuu, wamaasai na wa Handzabe si sawa na wana kizimkazi ni watu watofauti Kabisaaa. Hili suala la wa Maasai litaitia Tanzania katika matatizo makubwa kimataifa. Kama wenye...
  5. JamiiForums Tanzania Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kagera: Kisa cha Mtoto mwenye Ualbino kudaiwa kuibiwa, RPC Makungu asema tayari wameanza uchunguzi

    Kufuatia tukio la wa wasiojulikana kummyakua mtoto wa miaka miwili na nusu mwenye ualbino aitwaye Asiimwe Novath, na kutokomea naye, baada ya kumkaba koo mama yake anayefahamika kwa jina la Kebyera Richard, mkazi wa Kijiji cha Bulamula, Kitongoji cha Mbale, Kata na Tarafa ya Kamachumu wilayani...
  7. JamiiForums Tanzania Video Clip: Wakili Madeleka kumshtaki RC Chalamila kwa kuhamasisha mauaji

    "Mpaka kufika Jumatatu nitakuwa nimemshtaki Mahakamani ndugu Albert Chalamila kwa kosa la kuhamasisha mauaji (Extra-Judicial Killings). Jinai huwa haina cheo." - Peter Madeleka Pia soma: Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi
  8. JamiiForums Tanzania LHRC: Kukiuka haki ya afya ni kukiuka haki ya kuishi kinyume na Ibara ya 14 ya Katiba

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa takribani juma moja sasa kimekuwa kikifuatilia kwa karibu mjadala ulioripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mgogoro kati ya watoa huduma wa afya kutoka sekta binafsi pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya...
  9. JamiiForums Tanzania Likizo time tuliporudi vijijini, watoto wenzetu walielekea Paris, London, Washington DC waliambiwa nanyi pia mna haki ya kuishi hapa

    Wakati wa likizo miaka ya 1980 tulipokuwa watoto, ilikuwa ni utamaduni kwenda kuwasalimu bibi na babu,yalikuwa ni malezi bora yenye baraka pale babu na bibi wanapokushika mkono kukubariki na kukutakia yote yaliyo mema, wakati tukirudi kijijini, watoto wa waliofanikiwa walipelekwa kutembea...
  10. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa tuhuma za kubaka na kumuua mwanafunzi wa darasa la saba

    Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za mauaji wa mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba, Farida Makuya (16) aliyeuawa usiku akiwa nyumbani kwao Oktoba 4, 2022. Marehemu enzi za uhai wake Binti alitakiwa kuwa miongoni kwa watahiniwa wa mitihani wa darasa la saba...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kuishi ya Watanzania na Hofu Inayotanda

    Ndugu zangu Watanzania wenzangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Nawasalimu kwa dhati.Pia nawapa pole wote waliotangulia mbele ya Muumba wao kwa vifo vya kinyama vilivyotokea.Mungu awape ujasiri wafiwa. Pia bila kuwasahau wagonjwa, wafungwa & mahabusu (Hakuna aliye salama...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mr Pompeo: Wenye kudhulumu haki ya kuishi wapo Minneapolis

    Niliusoma ule ujumbe wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani kumhusu mkuu wa mkoa wa Dar juu ya watu kudhulumiwa haki ya kuishi, kichwani mwangu zikaja kila aina ya fikra. Zilikuwa ni tuhuma nzito zilihitimishwa kwa RC wa Dar kunyimwa haki ya kuingia Marekani. Lakini kesho hakuna binadamu aijuaye...
  14. JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…