Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024 amesema zama zimebadilika na utoaji Taarifa umehamia zaidi Mitandaoni kama inavyofanyika kupitia JamiiForums.
JF ipo juu Wakuu, tuendelee kupiga spana maana wanatudhihirishia huwa wanapita na kuchukua maoni yetu...
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura.
Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele wakiona haujibu sasa tulitukane litajibu ama halijibu, sijibu nageuza chura masikio sisikii kabisa...