Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje.
Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hapa kûna terminologies(istilahi) kadhaa Ambazo sharti nizitolee maelezo Kabla sijaendelea mbele kwèñye hili àndiko. Istilahi hizô NI kama Ifuatavyo:
1. NDOA
2. Mtoto wa nje ya Ndoa
3. HAKI
4. Urithi
5. Watoto wa ndàni ya Ndoa.
6. Mali
Ndoa ni Makubaliano...
KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI:
Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI) NO.14 OF 2011
Haya ni baadhi ya maswali machache ambayo utapata majibu yake ndani ya hii kesi.👇
1...
Habari za asubuhi, mchana na jioni. Hapa mtaani kuna sekeseke limetokea, mzee mmoja Mangi wa Rombo ameowa mwanamke wa kidogo kutoka mkinga huko Tanga.
Katika maisha yao ya ndoa wamejaaliwa watoto 3 ila katika hao watoto mmoja wa kiume sio wa Mangi na alimpima DNA huko kenya ikaonesha kweli sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.