haki ya kusahaulika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    SoC04 Umuhimu wa kuwepo kwa haki ya kusahaulika katika Sheria za Tanzania hasa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi na. 11, 2022

    UTANGULIZI: Haki ya kusahaulika ni haki ambayo inawezesha mtu kama kuna taarifa zake zimekusanywa na mkusanya taarifa yoyote, au mchakata taarifa, anaweza kwenda kuomba kwamba taarifa hizi mlizokuwa nazo kuhusu mimi sitaki muendelee kuwa nazo kwa sababu labda matumuzi yake yameisha au kwa namna...
  2. The Sheriff

    Je, ungependa baadhi ya taarifa zako mtandaoni zifutwe na kusahauliwa kabisa?

    Katika zama hizi za kidigitali, taarifa zetu binafsi zimezagaa katika majukwaa mengi, na mara nyingi hatuna uwezo wa kuzifuta kabisa taarifa hizi zisionekane na umma. Taarifa hizi zinashikiliwa na taasisi na makampuni binafsi, n.k. Lakini je, ni lazima taarifa hizo kubaki hivyo daima? Katika...
  3. BARD AI

    Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
Back
Top Bottom