“Maandamano ni haki ya kisheria kama mtu anataka kupiga kapige wale wabunge waliotunga sheria sio mlaji wa ile sheria kama unafikiri maandamano ni uhalifu yaharamishe kisheria jenga hoja yaharamishe kisheria tutofautishe ghasia na maandamano unajau kuna vitu viwili watu hawatofautishi ghasia na...
Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
Ni kujikosea heshima kupigana na mtu aliyefungwa kamba mikono na miguu.
Askari anayejikubali hawezi kwenda kuwinda wanyama mbugani..roho yake lazima imsute. Yeye amefundishwa kupigana na wapiganaji, Ni kwanini akamtafute mnyama asiyeweza kujitetea?
Simwongelei Sativa, hao ni wengi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.