haki ya maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi: Kama maandamano ni uhalifu, yaharamishwe kisheria

    “Maandamano ni haki ya kisheria kama mtu anataka kupiga kapige wale wabunge waliotunga sheria sio mlaji wa ile sheria kama unafikiri maandamano ni uhalifu yaharamishe kisheria jenga hoja yaharamishe kisheria tutofautishe ghasia na maandamano unajau kuna vitu viwili watu hawatofautishi ghasia na...
  2. Kwa hali ilivyo sheria irekebishwe ili kibali cha maandamano kiombwe mahakamani

    Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi ya watawala akiishawishi kupata kibali cha kuandamana
  3. Kweli vijana Tanzania tumedhibitiwa na system, sawa hatuwezi kuandamana ila msituue!

    Ni kujikosea heshima kupigana na mtu aliyefungwa kamba mikono na miguu. Askari anayejikubali hawezi kwenda kuwinda wanyama mbugani..roho yake lazima imsute. Yeye amefundishwa kupigana na wapiganaji, Ni kwanini akamtafute mnyama asiyeweza kujitetea? Simwongelei Sativa, hao ni wengi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…