haki ya malezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stroke

    Watoto wa nje wanatesa mno. Imagine mtu kumuona mwanae saa sita usiku

    Nilikua nimekaa mahali mida ilikua imekwenda kidogo. Sasa akaja jamaa akapaki hapo. Zikapita dakika kumi akatoka mwanamke na mtoto mdogo wa kiume. Akaingia ndani ya usafiri wa jamaa wakaongea like 30 mins. Then wakaagana. Sasa mtu unapata tabu kuona mwanao mida ya wachawi mbaya sana.
Back
Top Bottom