KWA NINI MTOTO WA NJE HAPASWI KURITHI MALI ZA BABA YAKE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mada hii wengi Watu wengi wamecharuka kîla mmoja akionyesha Hisia Zake huku Wengine wakishindwa kuzitawala Hisia hizo.
Wengine wanasema, oooh! Mtoto NI Mtoto. Wengine oooh! Hiyo siô Haki kwani Mtoto...
Habari za asubuhi, mchana na jioni. Hapa mtaani kuna sekeseke limetokea, mzee mmoja Mangi wa Rombo ameowa mwanamke wa kidogo kutoka mkinga huko Tanga.
Katika maisha yao ya ndoa wamejaaliwa watoto 3 ila katika hao watoto mmoja wa kiume sio wa Mangi na alimpima DNA huko kenya ikaonesha kweli sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.