haki ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Nakosa hamu ya mapenzi na mke wangu mwezi wa pili tangu ajifungue. Je, ni kawaida?

    Nina mwezi wa tatu sasa sijapiga mashine kabla na baada ya wife kujifungua pia mashine haisimami mpaka asubuhi ndiyo inasimama je ni kawaida?
  2. G

    Uingereza: Ahukumiwa miaka minne jela kwa kuvua Kondom wakati wa tendo bila ridhaa ya mwenza wake

    Mahakama ya Uingereza imemhukumu mwanaume wa Kizimbabwe Guy Mukendi (39) kifungo cha miaka 4 na miezi 3 jela kwa kosa la 'kuhadaa' baada ya kutoa kondomu bila ridhaa ya mwenzake wakati wakifanya ngono. Guy Mukendi (39) kutoka jiji la Brixton alihukumiwa Alhamisi katika mahakama ya ndani ya...
Back
Top Bottom