Niwakumbushe tu vijana wa kudai haki zenu hakikisha unatimiza wajibu wako.
Mfano kama ulisomeshwa vizuri na wazazi wako na wewe ukatimiza ushauri wa wazazi wako na ukakosa ajira ni haki yako kudai haki.
Kama unafuata sheria za nchi kama katiba inavyoeleza una haki ya kudai haki. Sio ujiingize...