Leo amesikika Rais Samia akisema kuwa aliruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Hiyo sentensi moja tu inamaanisha Rais Samia hajui katiba inasema nini juu ya mikutano ya vyama vya siasa?
Mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote vya siasa ni haki ya kikatiba, na wala siyo hisani ya Rais au CCM...