haki za kibinadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Wapigania haki za kibinadamu mbona hamuandiki nyuzi kulaani ndoa mabinti wadogo (underage girls) huko Iraq au hadi Israel ndio hausike?

    Wapigania haki za kibinadamu wana jukumu la kulaani na kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu popote pale duniani, iwe ni ndoa za watoto huko Iraq, Israel, au sehemu nyingine yoyote. Haki za kibinadamu ni za kila mtu, bila kujali mipaka ya kijiografia au muktadha wa kisiasa. "HARAKATI ZENU...
  2. sky soldier

    Kuwe na adhabuya kifungo kwa wazazi / walezi wanaoficha ndani watoto walemavu, ni ukiukaji wa haki za mtoto

    Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana. Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
  3. The Sheriff

    UN WOMEN: Ni muhimu kuwa na sheria na sera zinazosimamia na kuondoa ubaguzi wa kijinsia

    Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
  4. The Sheriff

    Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
  5. MK254

    Mkuu wa Wagner asema wakuu wa majeshi ya Urusi wafunguliwe mashtaka kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu

    Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote. Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko. === Russia's most powerful mercenary, Yevgeny Prigozhin, said on Wednesday that he had asked prosecutors to investigate...
  6. K

    THRDC: Ujio wa Kamala Harris ni matokeo ya kuimarika kwa Haki za Kibinadamu na Utawala Bora

    Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri. "Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
  7. Influenza

    Uganda yasitisha shughuli za Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini humo

    Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na kulinda furaha na utambuzi kamili kwa watu wote, na haki zote zilizowekwa katika Mkataba wa Umoja wa...
  8. The Sheriff

    Ndoa za Kulazimishwa ni Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu Unaopaswa Kupingwa kwa Nguvu Zote

    Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa. Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
Back
Top Bottom