haki za kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Mtandao umekuwa wa kimagumashi mpaka utumie VPN kuna nini?

    Wakuu, Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani? Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama? Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena. Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
  2. Roving Journalist

    Data Privacy Day: JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub kufanya Mjadala kuhusu Sera za Akili Mnemba (AI) Januari 28, 2025

    Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba. Tanzania na Afrika kwa ujumla inashuhudia mapunduzi makubwa ya Teknolojia ikiwemo Teknolojia ya Akili Mnemba ambapo...
  3. Mindyou

    Ufaransa: Mwanamke atapeliwa zaidi ya Bilioni 2 na Brad Pitt feki aliyekuwa ana-date naye online

    Wakuu, Hivi inakuaje kuaje mpaka unadanganywa kiasi hiki na Artificial Intelligence? Ndo tumefikia huku? ====================== Mwanamke mmoja kutoka Ufaransa alidanganywa na kupoteza zaidi ya $800,000 (zaidi ya TSH bilioni 2) na tapeli aliyejifanya kuwa ni Brad Pitt kwa kutumia picha...
  4. Suley2019

    Namibia: Kampuni ya Simu inayomilikiwa na Serikali yadukuliwa, taarifa za Wateja zavujishwa, Tanzania tupo salama kiasi gani?

    Wakuu, Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi? Taarifa kamili hizi hapa chini: --- Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 XSPaces nayo imepigwa pini, hakikisha una VPN kwenye kifaa chako yasije kutokea ya 2020 ukiwa hujajiandaa!

    Wakuu, Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni mara chache sana utaipata bila VPN. Sasa ni XSPaces, huwezi kuhudhuria space sasa hivi mpaka utumie...
  6. Cute Wife

    Mzazi jifanye 'fala' halafu muulize mtoto wako huwa anapenda kuangalia nini kwenye simu, usimpige, mwongoze

    Kwema Wakuu, Katika another episode ya digitali samala kwa watoto, welcome to my channel😂😂 vile najiona kama influencer wa maana:BearLaugh:. Kama mada inavyosema Wakuu, wengi tunadharau watoto hawajui mambo tunayoona ni 'makubwa' kwa umri wao na wengina naona tunaogopa tu kujua ukweli...
  7. Cute Wife

    Mtoto wa kiume anaweza kujisimamia mwenyewe, wa kike usithubutu utalia! Hii ni kweli kipindi hiki cha digitali?

    Wakuu, Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu. Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
  8. The Sheriff

    Watetezi wa Haki nchini Nigeria watoa wito wa kulindwa kwa Haki za Kidigitali za wananchi, wasema serikali inawanyima haki hiyo ya msingi

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Nigeria (NHRC) na watetezi wa haki za binadamu wameomba ulinzi wa haki za kidigitali za wananchi kufuatia ongezeko la udhibiti, uingiliaji na unyanyasaji unaofanywa na serikali na taasisi zake za udhibiti. Wito huu umetolewa jana Alhamisi, Oktoba 31, 2024...
  9. Cute Wife

    Wewe ni mzazi yupi: Unaruhusu mtoto kumiliki na kutumia simu na mitandao ya kijamii au simu ni marufuku mpaka afike chuo?

    Wakuu salaam, Tuna wazazi na walezi wa aina tofauti kwenye jamii, kuna wale wanaokwenda na wakati na wale ambao kidogo ka ukoloni kapo wakiamini njia zilizotumika miaka 47 kwake zitafanya kazi katika kizazi hiki. Matumizi ya digitali yakua kadri siku zinavyosonga, si tu kwa watu wazima kwani...
  10. J

    JamiiForums yafanya Mjadala na Wazazi wa Wanafunzi Shule ya Msingi Feza kuhusu mbinu za kuwalinda Watoto Mtandaoni

    Oktoba 26, 2024 baadhi wa Watendaji wa JamiiForums walifanya Mjadala na Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Feza na kujadili mbinu za kulea watoto katika nyakati Dunia ya Utandawazi na Digitali. Timu ya JF ikiongozw ana Mkurugenzi Mtendaji, Maxence Melo ilifanya majadiliano ya...
  11. Cute Wife

    Umeshawahi kupokea matangazo ya kubeti na hujawahi kuomba huduma zao? Unajua pa kushtaki ulipwe kwa wizi huo wa taarifa zako?

    Wakuu, salama huko mlipoamkia? Naamini wengi wetu tumekuwa tukipokea matangazo kwenye simu zetu ya huduma ambazo hatujawi kuzitaka, na hujawahi kutoa namba yako na kuwaruhusu kukutumia matangazo hayo. Tena wakati mwingine wanataja mpaka jina lako, mf. Habari Cute Wife, unajua unaweza...
  12. Kingsmann

    Wateja wa CRDB wakumbwa na ulaghai wa mtandaoni ili kupata taarifa binafsi za kibenki

    Wateja wa Benki ya CRDB ambayo ndiyo mkopeshaji mkubwa wa Tanzania kwa mali na amana, wamepokea barua pepe za udanganyifu kutoka kwa matapeli wanaojifanya ni benki hiyo. Katika shambulio hilo la hadaa, wateja wa Benki ya CRDB walipokea barua pepe zilizowataka kubofya kiungo (link) kinachotiliwa...
  13. Cute Wife

    Huduma Vodacom zarejea baada ya saa takriban 6 za kukosa mtandao

    Wakuu, Huduma za mtandao Vodacom zimerejea. ==== Huduma zote sasa zimerejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunatanguliza shukrani kwa uvumilivu wenu.
  14. Cute Wife

    Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

    Wakuu, ==== TAARIFA KWA UMMA Septemba 28, 2024Mpendwa Mteja, Tunaomba radhi kwa changamoto za mtandao kwa sasa inayosababisha wateja wengi kushindwa kupata huduma. Timu yetu ya wahandisi inajitahidi kusuluhisha kwa haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunashukuru kwa uvumilivu...
  15. sanalii

    Wa kulaumiwa ni Serikali mitandao ya simu inaonewa tu

    Si kwa Tanzania tu bali ni dunia nzima, serikali imekuwa ikitumia mamlaka yao kufanya uovu kwa watu walio kinyume nao, wanasiasa, wanahabari, n.k. Hakuna kampuni ya itaweza zuia agizo la serikali kwakuwa hatuna katiba imara ya kufanya hivyo, Tigo na Voda au hata wengine, wanaangushiwa tu jumba...
  16. Manyanza

    Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  17. A

    Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

    Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe. Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa! Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na...
  18. BARD AI

    Brazil: Mahakama Kuu kupiga Kura ya kuamua kama X (Twitter) inastahili kufungiwa

    Mahakama Kuu nchini Brazil, leo September 2, 2024 itatoa uamuzi kwa kupiga Kura itakayoidhinisha kufungiwa au kuondoa adhabu hiyo dhidi ya Mtandao wa X (zamani Twitter), uamuzi uliotolewa Agosti 31, 2024 na Jaji Alexandre Moraes. Kura hizo zitapigwa na Majaji 11 akiwemo Jaji Mkuu ambapo idadi...
  19. BOB LUSE

    Sioni haki wala Mantiki ya kukatwa Hela hizi

    Niende kwenye Hoja, 1) Nina laini ya simu niliyosajilia Sim Banking, kwanini nikiweka hela kwenda Benki nakatwa, nikirudisha kwenye laini ileile toka Bank, nakatwa Tena! Kwanini mfumo usitofautishe namba za wateja wao na miamala ya malipo? Mbona ukihamisha Hela kupeleka kwenye Taasisi za...
  20. Heparin

    Pre GE2025 Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X

    ''Serikali wameomba tuwape muda ni sawa, lakini kwa muda ambao nimekadiria ili serikali iweze kufanya maamuzi, hili suala kweli wanataka kulichambua walione likoje nawapa miezi minne (4) huu ukiwa mwezi wa pili nimebakiza miezi miwili nisipoona wamechukua hatua nitatoka tena kupiga zogo''...
Back
Top Bottom