haki za kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    MJADALA: Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zifanye nini cha tofauti ili kuondoa tatizo la ajira nchini?

    Takwimu za Benki ya Dunia na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (REPOA) zinakadiria takriban watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo wanaopata kazi ni kati ya 60,000 hadi 200,000 tu Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zinafanye...
  2. Ni Muhimu Kujenga Mustakabali Bora kwa Kila Mtu Kupitia Elimu

    Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya binadamu. Kwa karne nyingi, elimu imekuwa ikichochea mabadiliko makubwa katika maisha ya watu na kuendeleza jamii kwa ujumla. Haki ya kila mtu kupata elimu imekuwa msingi wa maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kiutamaduni. Hata hivyo, katika ulimwengu wa...
  3. Usawa wa kijinsia ni msingi wa jamii imara yenye haki na ushirikiano bora wa kimaendeleo

    Kupata usawa wa kijinsia si tu suala la haki za kibinadamu, bali pia ni jambo linalochangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Katika dunia ya sasa, jitihada za kuleta usawa wa kijinsia zimekuwa kitovu cha mijadala ya kimataifa na jitihada za serikali, mashirika...
  4. Kuporomoka kwa Haki za Wafanyakazi ni Changamoto Inayogusa Moyo wa Jamii Zetu

    Kila jamii inategemea nguvu ya wafanyakazi katika kusukuma gurudumu la maendeleo. Wafanyakazi ni kiungo muhimu cha uzalishaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi zote duniani. Haki za wafanyakazi ni msingi wa mazingira bora na ya haki katika sehemu za ajira. Kila mfanyakazi anapaswa kufurahia...
  5. Siku ya Haki za Kijamii Duniani 2023

    Inaadhimishwa Februari 20 kila mwaka ikiwa na lengo la kupaza sauti dhidi ya dhuluma katka jamii, Umoja wa Mataifa (UN) unaeleza Kaulimbiu ya Mwaka 2023 ni ‘Kushinda Vikwazo na Kufungua Fursa za Haki ya Kijamii’. Umasikini na kukosekana usawa vimeongezeka kutokana na migogoro ya kiuchumi na...
  6. Ndoa za Kulazimishwa Zinawanyima Watu Uhuru na Kuathiri Ushiriki Wao Kamili Katika Jamii

    Ndoa ya kulazimishwa ni hali ambapo mtu amelazimishwa kuoa au kuolewa bila hiari yake. Ndoa ya kulazimishwa inaweza kutokea kwa shinikizo la kihisia, kifedha, kwa matumizi ya nguvu au vitisho, kwa kurubuniwa na wanafamilia, mwenzi, au wengine. Ndoa hizi zimepigwa marufuku na mikataba kadhaa ya...
  7. Ndoa za Kulazimishwa ni Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu Unaopaswa Kupingwa kwa Nguvu Zote

    Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa. Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…