haki za kiraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Li ngunda ngali

    Padre Kitima: Suala la kuminywa haki za Wamasai wa Ngorongoro si sahihi

    Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki zao. "....leo hii tunapozungumza ndugu zetu Wamasai wa kule NGORONGORO wanatuma ujumbe mbaya wenye...
  2. Mturutumbi255

    Kutetea Haki za Kiraia: Kisa cha Edgar Mwakabela (SATIVA) na Mapambano ya Vijana Dhidi ya Ukandamizaji

    Haki za kiraia na demokrasia ni misingi muhimu ya utawala bora. Vijana wanahitaji kuelewa haki zao na jinsi ya kuzitetea katika mazingira yoyote. Hii ni muhimu kwa sababu inawapa ujasiri wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii zao na kupinga ukandamizaji wowote. Mfano wa hivi karibuni...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Louisiana: Serikali yaamuru amri kumi za Mungu kubandikwa madarasani Marekani

    Louisiana imekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kutaka kila darasa la shule za serikali, kuanzia msingi hadi chuo kikuu kubandika Amri Kumi za Mungu ukutani. Hatua hiyo iliyochochewa na chama cha Republican na kutiwa saini kuwa sheria na Gavana wa jimbo hilo Jeff Landry (pichani) siku ya...
  4. N

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo. Bodi ya Benki mnamo...
  5. The Sheriff

    Kuporomoka kwa Haki za Wafanyakazi ni Changamoto Inayogusa Moyo wa Jamii Zetu

    Kila jamii inategemea nguvu ya wafanyakazi katika kusukuma gurudumu la maendeleo. Wafanyakazi ni kiungo muhimu cha uzalishaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi zote duniani. Haki za wafanyakazi ni msingi wa mazingira bora na ya haki katika sehemu za ajira. Kila mfanyakazi anapaswa kufurahia...
  6. The Sheriff

    Digitali ni Nyenzo Muhimu Katika Kuongeza Ufahamu na Ushiriki wa Umma Katika Haki za Kijamii

    Teknolojia ya digitali imerahisisha mambo mengi katika dunia ya leo. Si tu imerahisisha mawasiliano na kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza biashara, bali imekuwa na umuhimu mkubwa katika kupaza sauti za wanyonge, kueneza taarifa, na kuongeza ushirikiano katika makundi mbalimbali ya watu...
  7. Sildenafil Citrate

    Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia hatiani kwa kukiuka amri ya Mahakama

    Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa kukiuka amri ya mahakama iliyowataka kuwarejesha kazini madaktari 33 waliokuwa wameondolewa miezi 40...
Back
Top Bottom