kuhusu hali ya baadhi ya magereza na baadhi ya vituo vya polisi, ambavyo mahabusu na wafungwa wamekuwa wakijisaidia kwenye ndoo badala ya vyoo rasmi.
-
“Huu utaratibu faida yake ni nini? Au ni sehemu ya adhabu kwa wafungwa? Kuna kiongozi mmoja aliwahi kuzungumzia suala hili mwaka jana akisema...