Bunge la Kitaifa la Kenya limepitisha Muswada wa Breastfeeding Mothers Bill, 2024, unaolenga kuimarisha ulinzi wa kisheria kwa akina mama wanaonyonyesha na kuwasaidia kusawazisha majukumu ya kazi na malezi ya watoto.
Muswada huo, uliodhaminiwa na Mbunge Mteule Sabina Chege, unapendekeza...