haki za matangazo michuano ya caf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azam TV kupewa kuonyesha mashindano ya Club Bingwa Africa na Shirikisho kupitia FTA(ZBC2) je hii channel itakuwa free bila kulipia kwenye decoder zao?

    CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake Mechi za CAF tutaziona kupitia ZBC 2 pekee maana ndio chanel ya Bure hiyo. Sasa najiuliza mpka Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…