Mahakama ya Wilaya ya Handeni imelazimika kuahirisha kuwasomea hukumu washtakiwa wawili wa kesi ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, Waziri Mohamedi na mwenzake Mohamed Ndumi baada ya mmoja kueleza hajisikii vizuri kiafya, mwingine akidai kuwa akili haiko sawa.
Hukumu hiyo ilipangwa kusomwa leo...