Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi
Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao
Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana kuondosha uharifu
Polisi hawapo juu ya sheria, wakikengeuka wanaweza kushtakiwa na mkono wa sheria...
Familia ya kijana aliyedai kupigwa hadi kuvunjwa mguu na askari polisi ndani ya chumba cha mahojiano, wamelitaka Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo, ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.
Kijana huyo, Peter Charles (21), mkazi wa kata ya Daraja Mbili jijini Arusha...
Kama taifa sasa tunashuhudia kumea kwa matabaka ya chuki kati ya jamii na watu wenye itikadi kali dhidi ya wengine ambao wanaonekana kuwa inferio ndani ya nchi yao.
Wananchi ambao wanaonekana kuwa inferio ndani ya jamii wengi wao wanasumbuliwa na tatizo la uelewa mdogo kuhusu maswala mtambuka...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
1. Pengine utasema ni kahaba kwasababu kavaa nguo fupi sana dizaini ya chupi au nyinginezo.
Lakini hii sio ushahidi wa mtu kuwa kahaba. Tanzania hatuna Sheria inayoelekeza(regulate) mavazi. Mtu anaweza kuvaa vyovyote vile. Na pia hakuna mavazi mtu akivaa...
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?
Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni.
Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo nyeti sana usiri mkubwa sana.
Nimeshangazwa kukuta kamera zimewekwa ndani chooni, eneo ambalo mkoaji...
Habari za wakati huu,
Mimi ni mwananchi wa kawaida, raia wa Tanzania. Nipo Dar es Salaam katika eneo fulani ambalo lilikuwa shamba la marehemu mzee wangu, sasa limekuwa eneo la makazi. Ilibidi mzee apime viwanja na kuanza kuuza baadhi ya viwanja. Kuna mteja mmoja, mwanajeshi, alijenga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.