haki za vijana wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mlo wa siku moja hauwezi kukutajirisha shtukeni vijana kipindi hichi cha uchaguzi

    Ni kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi. Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka mitano aliyopambana mwenyewe bila msaada wa mtu ifike muda vijana tuamke kwa vitendo. Pesa...
  2. Je, ni sahihi kwa kijana kujitolea maisha yake kwa ajili ya familia, au kuna njia nyingine bora za kusaidia bila kuhatarisha uhai?

    Kijiji cha Nyansato, kipo katikati ya Tanzania, ni kijiji kinachojulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, lakini ndani yake kuna hadithi ya huzuni na mateso. Hii ni hadithi ya kijana aitwaye Daudi, mwenye umri wa miaka kumi na saba, ambaye alikuwa na ndoto kubwa ya kuokoa familia yake kutoka...
  3. Kweli vijana Tanzania tumedhibitiwa na system, sawa hatuwezi kuandamana ila msituue!

    Ni kujikosea heshima kupigana na mtu aliyefungwa kamba mikono na miguu. Askari anayejikubali hawezi kwenda kuwinda wanyama mbugani..roho yake lazima imsute. Yeye amefundishwa kupigana na wapiganaji, Ni kwanini akamtafute mnyama asiyeweza kujitetea? Simwongelei Sativa, hao ni wengi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…