haki za wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Watumishi wa St Marys Secondary Mbezi hawana mikataba ya kazi

    Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe. Watumishi wa shule ya St Marys Secondary Mbezi wanaishi katika mazingira Magumu sana, watumishi hao wote hawana mikataba ya kazi. Huyu mtu...
  2. C

    MSAADA: Nitawezaje kulipwa mishahara yangu iliyozuiliwa?

    Najua humu ndani naweza kupata msaada wa namna ya kudai mishahara yangu iliyozuiliwa kwa muda wa miezi nane huku nikiendelea na kazi. Mshahara wangu ulizuiliwa baada ya kutokuwepo kazini kutokana na kuugua wakati wa likizo. Baada ya kupona, nilirejea kazini na kuwasilisha ushahidi wa kidaktari...
  3. G

    Wafanyakazi wa ndani waundiwe taasisi ndani ya Ustawi wa Jamii kupunguza unyanyasaji

    1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku. 2. House girl ahusishwe kwenye shughuli za kujumuika kifamilia - Kuanzia Kula pamoja, kutoka out, kwenda kanisani/ msikitini...
  4. N

    DOKEZO GGM security na ukiukaji wa haki za wafanyakazi

    Habari wana forum, kumekuwa na complain nyingi sana namna security wa mgodi wa Geita GGM wanavyokiuka haki za msingi za wafanyakazi. Security wamepewa mamlaka makubwa mno na maamuzi yasiyochunguzwa wala kuulizwa na mamlaka nyingine. Imefikia wakati security anaweza kumkataa mfanyakazi na...
  5. The Sheriff

    Kuzingatia haki za wafanyakazi ni hatua ya msingi kwa maendeleo na ustawi wa Afrika

    Kuzingatia haki za wafanyakazi ni muhimu sana katika kuhakikisha ustawi na ufanisi katika maeneo ya kazi. Haki za wafanyakazi zinahusisha masuala kama vile haki ya kufanya kazi katika mazingira salama na yenye afya, malipo ya haki na stahiki, saa za kazi zinazoheshimu afya na maisha ya...
  6. The Sheriff

    Kuporomoka kwa Haki za Wafanyakazi ni Changamoto Inayogusa Moyo wa Jamii Zetu

    Kila jamii inategemea nguvu ya wafanyakazi katika kusukuma gurudumu la maendeleo. Wafanyakazi ni kiungo muhimu cha uzalishaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi zote duniani. Haki za wafanyakazi ni msingi wa mazingira bora na ya haki katika sehemu za ajira. Kila mfanyakazi anapaswa kufurahia...
Back
Top Bottom