Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe.
Watumishi wa shule ya St Marys Secondary Mbezi wanaishi katika mazingira Magumu sana, watumishi hao wote hawana mikataba ya kazi. Huyu mtu...