haki za wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nadhani kuna haja ya kuwa na Chama cha kutetea haki za wanaume

    Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama imara cha kulinda haki za wanaume Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…