HUU NI MJADALA NILIO UKUTA BAINA NA WAKATA TIKETI NA MAENEO FULANI HAPA NCHINI.
Mfumo/Mtindo wa Uongozi barani Afrika miaka na miaka ulikua ni mfumo wa kikifalme na kichifu ambao ulikua umejikita kati utawala wa jinsi ya kiume na kurothishana ulikua unapokea ushauri kutoka kwa wazee wa familia...
Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa...
Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu Breezy pnchini humo linalotarajiwa kufanika kwa siku mbili, Desemba 14 na 15, 2024.
Wanaharakati hao...
Huko kwenye mtandao wa X kuna video moja fupi inayotembea kwa kasi inayomuonesha mwanamke mmoja aliyetambulika kama Morality Police Officer yaani polisi wa maadili ambaye alikuwa anashambuliwa na wanawake wenzake.
Polisi huyo aliripotiwa kumpiga mwanamke mwenzake kwa sababu mwanamke huyo...
UTANGULIZI
Hali halisi ya Tanzania: Chanzo cha taarifa: Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu (OHCHR) ya Septemba 2023.
Kesi za Unyanyasaji wa Kingono: Idadi ya kesi za unyanyasaji kingono dhidi ya wanawake na watoto bado ni juu sana, ikifikia karibu 7,000 kwa mwaka 2023...
1. Katherine Johnson (1918-2020)
Picha Credit: Alex Wong /Getty Images
Katherine Johnson alikuwa mwanamke mwanahisabati na mmoja wa wanawake wa kwanza wenye asili ya African-American kufanya kazi kama mwanasayansi chini ya kampuni ya NASA. Kama mwanahisabati, alifanikisha kukokotoa na...
Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".
Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala.
Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo:
Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa.
Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
ASASI za kiraia kisiwani Pemba zimeeleza kuwa kuwepo kwa mpango na mkakati wa pamoja wa ufuatiliaji wa rasirimli za umma katika jamii utasaidia kuongeza uwajibikaji wa taasisi za umma katika kusimamia rasilimali hizo kwa maendeleo ya nchi.
Walisema hayo wakati wa mkutano wa asasi za kiraia...
Hadithi ya hii inatokana na maisha ya mwanamke asiyejua thamani yake na haki zake.
Imagine mpaka Leo kuna wanawake wanaishi maisha ya mateso. Mwanamke ameachana na mume wake na kila mtu anaishi maisha yake.
Hii hainishangazi ila kinachonishangaza ni kwamba Mwanaume baada ya kuacha a na mke...
Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k.
Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
Hivi sasa katika nyakati zetu, haki za wanawake zimekuwa zikipigiwa upatu na makundi mbalimbali ya kijamii wakiongozwa na wanawake wasomi.
Wote wamekuwa wakipambana na kitu kinachoitwa mfumo dume.
Mapambano hayo ya kudai haki, yameleta maumivu kwa watu wengi wakiwemo wanaume, wanawake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.