haki za watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Wanasiasa mnanyanyasa watoto kwa kuwamezesha uchawa na propaganda zenu. Watetezi wa haki za watoto mko wapi?

    Wakuu, Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza. Mbali na kuwaweka watoto kwenye chipukizi sasa watoto wanaaza kukaririshwa uchachawa na kupenyeza ajenda za wanasiasa, hii siyo sawa...
  2. LIKUD

    Nasimama na bunge la Iraq kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Amini kwamba Kuna baadhi ya mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Haya Sasa twende Kazi. 👇👇👇 Kumekuwa na Kelele nyingi Sana kutoka Kwa watu wanao jiita watetezi wa haki za binadamu baada ya Bunge la Iraq kupitosha Sheria inayo ruhusu wasichana wenye umri wa miaka Tisa...
  3. Eli Cohen

    Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto. Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka...
  4. realMamy

    Ongezeko la watoto wanaouza mifuko Sokoni ikiwamo Kariakoo linazidi kutia hofu

    Kama serikali inavyosema kila mara kuwa imejenga shule nyingi za kata na lengo kubwa ni kutaka watoto wa kitanzania wasome. Lakini cha kushangaza ni kwamba watoto wengi sasa hivi wanauza mifuko Sokoni iwe shule zimefungwa au wakati wa masomo. Waziri mwenye dhamana Dkt. Gwajima D tunaomba...
  5. T

    Mungu Mwenyezi mtetezi aliye hai akatetee haki za watoto hawa wanaofanyiwa ukatili

    Mungu mwenye nguvu zote unaeona yote ukatende jambo juu ya ukatili huu watoto wanauwawa na kunyofolewa viungo lakini vyombo vya usalama vinashindwa kubaini watuhumiwa isipokuwa tu Kwa mtoto asimwe ambae Raisi Samia alitoa amri wasakwe ndo tukaona nguvu ya polisi. Tunaomba na hawa wengine mauaji...
  6. Dkt. Gwajima D

    Wafungwa maisha kwa ukatili wa mtoto kwenye school bus

    Kuhusu kesi ya dereva na konda wa school bus kumkatili mtoto wa miaka 6, aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya star light pre and nursery school, Kinondoni, Dar es Salaam, watuhumiwa wote 2 walitiwa hatiani na walifungwa maisha kwa hukumu ya tarehe 22 mei, 2024. Kuhusu tikio hili soma: Mkuu wa...
  7. Accumen Mo

    Watanzania tupunguze ushabiki na uzandiki kwa mfano ni kifo cha mtoto mwenye ualbino (Asimwe Novart) kilichotokea huko Kagera

    Habari ndugu zangu watanzania, Kwanza poleni na msiba huu tena unaleta aibu katika jamii ya kitanzania, pia napenda kupongeza hatua mbalimbali zilizoendelea kuchukuliwa ni pamoja na wananchi kuandamana huko kagera , polisi nao kuwashikilia watuhumuwa wawili mpaka sasa kutokana na uchunguzi wa...
  8. L

    Damu ya huyu Mtoto Itazungumza mpaka wahusika wote na mtandao wao wapatikane popote walipo hapa duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Inaumiza sana, inasikitisha, inahuzunisha, inatia hasira, inaleta simanzi, inasononesha na kuleta uchungu mkubwa sana ndani ya Moyo kuona, kusikia, kutizama, kushuhudia na kupata habari kuwa kuna watu, watanzania wenzetu,wenye mioyo ya nyama na Damu. Wanaweza kufanya...
  9. Nyendo

    Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia...
  10. T

    Mkasa wa Majonzi: Je, ni mila zitakuwa zimesababisha huyu binti kujiua?

    Jamii, mkasa huu ni wa kusikitisha Sana. Jana majira ya saa 1 kasoro jioni kitongojini kulitolewa tangazo la bint mwenye umri Mimi nakisia ni Kama miaka 14 kuwa amepotea toka majira ya mchana alienda kutafuta kuni Hadi majira hayo ya jioni hajaonekana. Ilipofika majira Kama saa 2 usiku huo...
  11. The Sheriff

    Pornhub, XVideos na Stripchat zatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua wanazochukua kulinda watoto dhidi ya kufikia maudhui yao

    Tume ya Ulaya imezitaka tovuti tatu kubwa zaidi za video za ngono duniani kutoa maelezo kuhusu hatua walizochukua ili kulinda watoto dhidi ya kufikia maudhui yao na kuzuia ukatili wa kijinsia. Uamuzi huo umechukuliwa ili kuzilenga kampuni za Pornhub, XVideos na Stripchat chini ya Sheria ya...
  12. Tlaatlaah

    Kongole nyingi sana kwa walimu

    Watoto wanaonyesha umahiri mkubwa sana juu ya walichojifunza mashuleni Academic improvement kwa watoto wetu imeimarika sana na inatia moyo mno... Uelewa na ufahamu wa watoto wetu katika kusoma, kuhesabu, kuandika, sayansi na stadi za maisha umeongezeka sana Watoto wanapenda kusoma, wanabidii...
  13. BARD AI

    Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?

    Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo: Sababu za Kijamii: * Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
  14. Shining Light

    Athari za uchumi imebadilisha malezi na maadili kwa watoto

    Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na watoto wao. Hata hivyo, sasa inawalazimu kuwa na watu wa kuwasaidia kulea watoto kama dada wa kazi au...
  15. Bushmamy

    Watuhumiwa waliolawiti mtoto Arusha wakosa sifa ya Kushtakiwa kwa kosa la Jinai kwa kutokuwa na umri sahihi

    Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo...
  16. The Sunk Cost Fallacy 2

    Marekani: Ukilawiti watoto adhabu yake ni kuhasiwa. Adhabu hii inafaa kwa Tanzania

    Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana? Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya kunyongwa lakini Kwa uzoefu wa Tanzania Wakuu huwa hawatekelezi hizo adhabu,kumbe badala yake tuanze...
  17. Heparin

    Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

    Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea kuongezeka kwa vitendo hivyo hasa kwa watoto wakiume Akizungumza kwa hisia kali kwenye mkutano wa hadhara...
  18. Ms Billionaire

    Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

    Habari wadau. Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri? Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma...
  19. Shining Light

    Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  20. Msanii

    Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
Back
Top Bottom