Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku.
Lakini ingawaje Pepmis imeonekana na faida lakini imekuwa fimbo kukosesha watumishi haki zao. Mtumishi...
Mimi nipo kuwatetea Watumishi wa Umma. Hawa ni walimu Madaktari, wauguzi, manesi nk. Hawa ni watu muhimu sana katika jamii.
Katika mikataba yao ya kazi kuna kipengele kinachosomeka "Your incremental date will be on July 1st", yaani kila mtumishi wa Umma atapata nyongeza ya mshahara ya mwaka...
Naomba maelezo kutoka kwa Maafisa utumishi wa taasisi mbalimbali za Umma/Serikali.
Ni haki yake Mtumishi wa umma kulipwa fedha ya Nauli wakati anapothibitishwa kazini kulingana na umbali(kilomita) kutoka nyumbani kwake hadi kituo chake cha kazi, wategemezi wake n.k?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.