haki zake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    Mwanamke Akianza kudai haki zake, huonekana ana kiburi.

    Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana. Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza kuanza kukandamiza haki ya Mwanamke mwenzao ili mradi tu na wao wasionekane wabaya. Mwanamke huyu...
  2. Boss la DP World

    Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
  3. K

    Afanye nini apate haki zake?

    Nina ndugu yangu alipata kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni x, mkataba ukaisha, lakini hakuwahi kupewa namba ya uanachama ya mfuko wa jamii pamoja na kuwa akikatwa mchango kila mwezi. Hawakupewa notice wala cheti cha kumaliza mkataba na hata alipoenda NSSF wakamwambia lete barua ya...
  4. BARD AI

    Anjella wa Harmonize naye aenda BASATA kudai haki zake

    Bundi bado ametua kwenye lebo ya Konde Music, ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii kutoka lebo hiyo, Angelina Samson, maarufu Angela naye kuwasilisha malalamiko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), akidai waachane naye rasmi. Madai ya Anjela kuachana na lebo hiyo rasmi badala ya ilivyo sasa...
Back
Top Bottom